Hivi umeshawahi kukaa na kuisoma katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Inawezekana jibu ni ndio au hapana. Jipe muda wa kupitia pitia ili ujiandae kwa ajili ya kutoa maoni tunapoelekea kwenye katiba mpya.
Ukitaka kusoma zaidi hebu bofya hapa. Kusoma katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania bofya hapa
Katiba hii ilifanyiwa marekebisho mwaka 2005 na kusainiwa na Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa wakati Mh. Benjamini Mkapa ili kusoma marekebisho hayo ya katiba hebu bofya hapa Sheria ya Mabadiliko ya Kumi na Nne Katika Katiba ya Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania
No comments:
Post a Comment